Episodes
-
Karibu katika episode yetu ya 83 ya KijiweNongwa. Tunazungumzia nyimbo mpya toka kwa Marioo, Harmonize na Nandy. Show ya #BongoFlevaHonors ya LadyJaydee, kulinganishwa na Zuchu na umuhimu wa waandishi wa nyimbo. Karibu kutusikiliza.
-
Karibu kwenye episode ya 82 ya KijiweNongwa. Tunaomba radhi kwa kupotea kwa muda, tumerejea. Tunazungumzia usiku wa tuzo za #TMA2023 zaidi kwenye mabaya tuliyoyaona na wapi pa kijirekebisha. Tunazungumzia pia mradi mpya wa Nikki Mbishi, Spana za Unju, Video mpya ya Bosi ya Ferooz na Juma Nature kutoka Bongo Records.
Tunamalizia na nyimbo tulizosikiliza. Tunatumai utafutahia kutusikiliza. Karibu. -
Missing episodes?
-
Karibu kwenye episode yetu ya 80. Nyimbo mpya kutoka kwa Yammi na Mbosso bila kusahau ujio wa EP ya Alikiba.
-
Karibu kwenye episode yetu ya 81, tuko na Fredrick Mulla kuzungumza kuhusu muziki wa Kenya na pia sakata la NYASHINSKI na Cedo.
-
Karibu kwenye episode ya 78 ya KijiweNongwa, Leo tunazungumza kuhusu Show za Simba Day na Yanga. Tunaangazia Bei elekezi ya show na kasi ya wasanii wa Nigeria kutoa album kwa haraka. Karibu utusikilize.
-
Tunazungumzia Komasava Rmx pamoja na kesi ya Ditto na Soggy. Tusikilize.
-
Karibu kwenye episode yetu ya 76 ya KijiweNongwa leo tunazungumzia nyimbo mpya kutoka kwa Rayvanny, Harmonize na Dizasta. Tunaicheki pia album ya BIEN Alusa Why are you topless (Deluxe). Kwa kumalizia tunaangazia Record labels na wasanii. Nini wajibu wa wasanii wetu kwa Record Labels hizi. Tuna imani utaifurahia episode hii.
-
Karibu kwenye episode ya 75 ya KijiweNongwa. Leo tunazungumza kuhusu nyimbo mpya ya Phina #WeHuogopi, JayMelody na show yake pale Warehouse. Tunamalizia na mazungumzo kuhusu Rema na project yake mpya ya #Heis , muonekano wake na jinsi sanaa inavyochochea uhalisia. Karibu utusikilize.
-
Nyimbo mpya wiki hii, album mpya ya Young Lunya pamoja na kutoka patupu BET. Karibu utusikilize.
-
Karibu kwenye episode ya 72 ya kijiwe nongwa.
-
Karibu kwenye episode ya 71 ya Kijiwenongwa na Leo ni kijiwe HURU. Tumezungumza mambo kadha wa kadha na baadhi ya mashabiki wa #KijiweNongwa.
Karibu utusikilize. -
Karibu kwenye episode ya 70 ya KijiweNongwa na hapa tunazungumzia Album ya Harmonize,#MuzikiWaSamia. Nini maoni yako?
-
Karibu kwenye episode ya 69 ya kijiwe nongwa.
-
Karibu kwenye episode ya 68 ya KijiweNongwa, tumezungumzia Nyimbo mpya ya JayMOE NA Country boy #Mocassin. Review ya album ya JayMelody Therapy na recap ya BongoFleva honors ya kwake AyMasta. Karibu utusikilize.
-
Karibu kwenye episode yetu ya 67 ya KijiweNongwa, tunazungumzia nyimbo mpya, vionjo vya kiasili kwenye nyimbo mpya ya Marioo na Dullah na Lesa kwenda Crown Fm. Karibu utusikilize.
-
Heri ya sikukuu ya Eid, karibu kwenye episode ya 66 ya kijiwe nongwa. Tumezungumzi tuzo za muziki Tanzania, muziki wa Bongo records kutolewa Boomplay, Wali Nazi ya TID na QCHIEF na UTAMADUNI wa mtanzania katika muziki.
Tusikilize. -
Alikiba amekuja na media house mpya na tunazungumzia Hilo kwa undani sana, Je, Hip hop imekufa kama anavyosema Moni?
-
Kufungiwa kwa Zuchu na mkataba mpya kati ya Mavins na Universal Music Group. Vipi Maua na King Kiba?
-
Dah ya Nandy na Mapoz ya Simba zinafanya vizuri, huu ni mwelekeo mzuri kuirudia bongo Fleva?
- Show more