Episodes
-
After siku mob tumerudi na ya Sita. Tunapiga watu wamefanya ufala Kofi na wasee wamecheza poa wanapigiwa Makofi. Twende kazi. Thanks.
-
Episode ya tano, tuko kwa moti so kaeni cool Kama Kuna kelele ya road..hehe. Tuna ongea juu ya Corona na vile ina tesa Kila sehem, pia hiyo mambo ya curfew. karibu yo.
-
Missing episodes?
-
Hosted by Spoon and Issa Boxer. Hii episode tunabonga juu ya team za ball, boxing, shujaa rugby. Harambee starlets na stars. Story ya Corona virus COVID19 na impact yake on humanity. Listen in.
-
Hosted by Spoon and Issa Boxer in swahili sheng. Hii episode tunabonga juu ya epl, champions league, Wilder fury 2, hitsquad, fixture ya lasvegas 7s na politricks moja mbili. Karibuni yo.
-
Spoon na Issa wanabonga juu ya EPL, winter break, boxing, pia NBA ALL-STAR Weekend iko karibu so lazima waliongea juu ya hiyo plus tribute kwa wakenya famous tumepoteza this year 2020. Karibuni yo na thanks.
-
Story za transfer EPL na recap ya game zimepita this weekend ya Feb 1st and 2nd plus Spoon ameshindwa kuelewa niaje Man U wame buy Ighalo?? Samagoal kufunga kwa debut yake, Timbe kuingia England plus alot more. Pia story za Boxing Issa anatuchapia na kubig up ma dame wa volleyball kutoboa kuenda Olympics. Politics kidogo Kama iko.