Episodios
-
Mwanaume mmoja amefikishwa mahakani leo kwa sababu ya dai la tisho la bomu lililo funga sehemu za mji wa Melbourne jana Jumatano mchana.
-
¿Faltan episodios?
-
Waziri mkuu wa China Li Qiang ameondoka Canberra baada ya siku yakihistoria ya mazungumzo yakidiplomasia ndani ya bunge la taifa.
-
Nchini Australia, sheria dhidi ya ubaguzi katika sehemu za kazi kwa misingi yakidini hutofautiana katika mamlaka zote.
-
Waziri wa kwanza wa China Li Qiang amekaribishwa ndani ya bunge la taifa, hiyo ikiwa ni ziara ya kwanza ya waziri wa kwanza wa China katika muda wa miaka 7.
-
Ma milioni yawa Australia watapata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mshahara wao.
-
Maelfu ya wahamiaji waliokuwa wakitarajia kujisajili katika vyuo vya Australia, hawata weza tena kuomba viza wanazo hitaji.
-
Iyanii ni msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Kenya, anaye zidi kuwa maarufu kila kukicha.
-
Serikali ya Queensland inapanga kuwa na hatua zakupunguza shinikizo ya gharama ya maisha licha yakutarajia nakisi ya bajeti.
-
Upinzani wa shirikisho umesema una nia yakutekeleza Makubaliano ya Paris ila, uta futa malengo ya mazingira ya Australia yanayo ifunga kisheria.
-
Waziri wa serikali ya shirikisho Bill Shorten amesema hawezi sema kama chama cha Labor kita weka chama cha Greens mwisho, katika kadi zao za maelezo ya jinsi yakupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao kwa sababu ya msimamo wa chama cha Greens kwa mgogoro wa Gaza.
-
Kipsang ni msanii mzawa wa Kenya anaye tunga nyimbo naku imba katika lugha yaki Kalenjin.
-
Serikali ya shirikisho inakana ukosefu wa ukuaji wa tija kwa zamu yake ambayo imewagharimu wafanyakazi wapato la chini nyongeza yajuu zaidi ya mshahara. Tume ya Haki ya Kazi ime inua kima cha chini cha mishahara na tuzo kwa asilimia 3.75 itakayo anza Julai 1
-
Mamilioni yawa Australia wata pata nyongeza ya asilimia 3.75 kwa mishahara yao, baada ya tume haki ya kazi kutoa uamuzi wake wa tathmini ya mwaka ya malipo.
-
Serikali ya Australia imesema ina uhakika inaweza simamia uhusiano wayo na New Zealand, licha ya wasiwasi ulio zuliwa kuhusu mageuzi kwa sera inayo julikana kama Direction 99.
-
Donald Trump amekuwa rais wa kwanza wa zamani wa Marekani kupatwa na hatai ya uhalifu, baada ya jopo la mahakama la wajumbe 12 mjini New York kumpata na hatia ya udanganyifu wa hati ili kuficha malipo ya kumnyamazisha nyota wa ponografia kabla ya uchaguzi mkuu wa 2016.
- Mostrar más