Episoder
-
Kura mpya ya maoni inadokeza kiongozi wa upinzani Peter Dutton, ana elekea kupata ushindi mkubwa katika uchaguzi mkuu ujao.
-
Mangler du episoder?
-
Umoja wa Mataifa ume ongeza sauti yake kwa wimbi la ukosoaji dhidi ya sheria mpya za Queensland, shirika hilo limesema sheria hiyo inaonesha "kupuuza kwa wazi" kwa hazi za watoto.
-
Nchini Australia, wafamasia hutoa dawa zilizo agizwa nama daktari pamoja na ushauri wa huduma ya afya, kuelimisha jumuiya kuhusu matumizi salama ya dawa na kuzuia ugonjwa.
-
Waziri Mkuu amekataa kuweka wazi jinsi mamlaka yaku wafurusha watu katika nchi ya tatu yata tumiwa.
-
Mchumi mmoja amesema mpango wa usawa wa pamoja waku saidia kununua nyumba wa serikali, hauta leta tofauti kubwa katika soko la nyumba la Australia.
-
Kila raia wa Australia ambaye yuko katika sajili ya kupiga kura, anaweza itwa kuhudumu katika baraza la waamuzi, hatua inayo julikana pia kama wajibu wa baraza la waamuzi.
-
Mh John Paul Mwirigi ana nafasi yakipekee katika vitabu vya kumbukumbu ya bunge la Kenya.
-
Ripoti kuhusu mshikamano wakijamii imepata, kuna mitazamo michache chanya, kwa dini kote jimboni katika makundi yote makubwa ya imani.
-
Kuhakikisha mtoto wako anachanjwa humlinda, na inafaida kwa kila mtu wa karibu yake, wataalam wamesema.
-
Australia ime unga mkono azimio la Umoja wa Mataifa, lakutambua mamlaka yakudumu ya watu wa Palestina kwa mara ya kwanza katika miongo mbili.
-
Kama una kazi, unapokea mafao ya serikali au unataka lipa bili zako kwa urahisi, utahitaji akaunti ya benki. Unaweza hitaji hata zaidi ya akaunti moja.
-
Bunge la DRC limepokea barua ya kukagua muda wa muhula wa rais na mageuzi ya mahakama ya Kongo.
-
Waziri Mkuu Anthony Albanese ametoa pongezi kwa mkongwe wa vita vya Vietnam Richard Norden, ambaye amepewa tuzo baada ya kufa ya ngazi ya juu zaidi ya jeshi la Australia ya Victoria Cross.
-
Dj Mozz ni mmoja wa vijana, wenye jina kubwa katika sekta ya burudani nchini Australia.
-
Waziri Mkuu Anthony Albanese ame sisitiza umuhimu wakutetea demokrasia katika hotuba yake, kwenye kongamano la wabunge wa jumuiya yamadola.
-
Takwimu kutoka tume ya uchaguzi ya Marekani, zina onesha watu wengi zaidi wame piga kura mwaka huu 3wa 2024 kuliko katika chaguzi zingine katika historia ya nchi hiyo.
- Se mer