Эпизоды
-
Katika episode ya 2 ya msafiri kafiri nakufahamisha nchi ambazo mtanzania anaingia bila visa,anazohitaji visa na ambazo kutokana na Covid 19 mtanzania haruhusiwi kwenda. Katika episode hii nimekutajia tu nchi hizo kwa ujumla wake lakini katika episode ya 3 panapo majaliwa nitakutajia nchi zile ambazo mtanzania anaingia free na maelezo yake mengi zaidi.
-
Katika msimu huu wa kwanza wa Msafiri kafiri tunaanza na zile hot news kutoka mtandaoni. Na moja kwa moja tunakutana na Timbwili ama Bifu kubwa linaloendelea kati ya Ray na Harmo. Je ni nini sababu ya haya yote.? Ungana nami mwanzo mpaka mwisho wa Podcast hii.
-
Пропущенные эпизоды?