Episodi
-
Teknolojia ya 5G na Mapinduzi ya Kidijitali
Kupitia mazungumzo haya, tunachunguza jinsi teknolojia ya 5G inavyochochea mapinduzi ya kidijitali na kuunda msingi wa mabadiliko makubwa katika mawasiliano, biashara, na maisha yetu ya kila siku.
🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255
-
Mitandao ya kijamii ni sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku.Ni muhimu kutumia njia salama kwa kuweka nywira tofauti kwa kila akaunti.
Episode hii tutaanganzia Namna ya Kuwa Mtaalam wa Mitandao ya Kijamii Bila Kuihatarisha Faragha Yako
🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255
-
Episodi mancanti?
-
Tambuwa barua pepe za ulaghai (phishing emails)
Katika episode hii, utajifunza jinsi ya kutambua barua pepe za ulaghai, Sikiliza leo na ujifunze jinsi ya kulinda taarifa zako za kibinafsi na pesa zako kutokana na ulaghai wa mtandaoni!
(Tuma kwa namba hii wamehamia kwenye email 🤣🤣🤣)
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Jinsi Virtual Reality Inavobadiliasha Maisha Yetu
Karibu kwenye ulimwengu wa mshangao na uvumbuzi! Kupitia podcast yetu, tumechimba kina kwenye jinsi Virtual Reality inavyotikisa msingi wa maisha yetu. Tunaangazia jinsi teknolojia hii inavyobadilisha uhalisia, kutufanya tuone ulimwengu kupitia macho mapya, na kuleta mageuzi katika njia tunavyoshirikiana na mazingira yetu. Ni safari ya kipekee ya kugundua uwezekano wa hali ya juu na kushuhudia mabadiliko ambayo yanavuta nyuzi za maisha yetu. Jiunge nasi kwenye Episode hii, tuchimbue pamoja kina cha Virtual Reality, na ujiandae kushangaa na mshangao wa teknolojia inayobadilisha maisha. Maisha bora yanakungoja!
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Jinsi ya Kuandika Maudhui ya Kimtandao (Content) Yenye Kuvutia.
Leo, tutajadili mambo muhimu ya kuzingatia unapotaka kutengeneza maudhui ya kimtandao ambayo yatavutia wasomaji wako na kuwafanya waweze kuchukua hatua. Kujenga maudhui ya kimtandao yenye nguvu na yenye kuvutia ni muhimu sana katika ulimwengu wa leo unaoshiba habari. Ndiyo sababu, katika Episode hii, tutakupa mwongozo wa hatua kwa hatua juu ya jinsi ya kuanza na maudhui ya kimtandao yenye nguvu.
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Application ambazo hutakiwi kukosa kama unafanya biashara
Kuna application nyingi ambazo upo nazo kwenye simu yako lakini wewe kama mfanyabiashara karibu nikuambie application ambazo kama unataka kufanikiwa uwezi kuzikosa kwenye simu. Katika Episode hii Tutachunguza application Tano kwa undani jinsi gani zitarahisisha utendaji wa biashara, na pia kuboresha ufanisi, mawasiliano, na matokeo ya kifedha.
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Mfanyabiashara au mtu wa kawaida lakini unataka kuwa na video nzuri kitika mitandao yako ya kijamii.
Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit video zako.
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Wewe ni kijana au mfanyabiashaa? unapenda kupiga Picha nzuri na unatamani zivutie lakini unashindwa kiediti.
Katika Episode hili utajifunza Application 5 za kuedit Picha zako.
🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza
Hosted By Owen Bariki & Maria Joseph
Producer Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Hivi unafahamu kama Kuingia mtandaoni unakuwa upo kwenye ulimwengu wa fursa zisizo na mwisho.
Katika toleo hili utajifunza tovuti na programu ambazo zinatoa fursa za kazi za mbali (remote jobs) au freelancing, nataka nikupatie Tano ambazo unaweza kuzitumia katika kuuza ujuzi wako mtandaoni.
🎧 Bofya link kwenye Bio na Insta story ili kusikiliza
Produced and Hosted By Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255
-
Elimu ndio inayokosekana kati ya watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data walizoweka mtandaoni.
Katika episode hii, nimekuandalia tips Tano za kufanya Ili wadukuzi wasiweze kupata taarifa zako kwenye simu na laptop.
Produced and Hosted By Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Katika Episode hi nimekuwekea mambo ambayo ni muhimu kuyafahamu kuhusu Instagram wewe kama mfanyabiashara.
Produced and Hosted By Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Unataka kuficha utambulisho wako ukiwa mtandaoni? Je unataka usiache alama (digital footprint) pale unapotumia mitandao?. Sasa hapo ndio VPN inapokuwa muhimu sana.
Katika Episode hi nakulete VPN 5 ambazo ni bora na ningependa uwe unazitumia Ili kukulinda na kukufanya uwe salama pale unapokuwa mtandaoni.
Produced and Hosted By Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Katika Episode hi ya Pili tutachunguza ukweli usiojulikana na mambo ya kushangaza kuhusu mitandao ya kijamii ambayo ni faida kwa wafanyabiashara na watu wengine wanaotumia mitandao hiyo.
Unataka kujuwa nimekuandalia nini kaa nami nikufungulie pazia la siri hizi za mitandao ya kijamii Karibu sana!
Produced and Hosted By Owen Bariki.
Instagram: eleven_digital255
Facebook: eleven_digital255
LinkedIn: eleven_digital255 -
Katika Episode hi ya Kwanza tumewaletea Akili bandia Tano ambazo ni muhimu Kwa wafanyabiashara, wanafunzi na watu wa kawaida kuzifahamu na kuzitumia kwani zinarahisisha kazi mbalimbali za mwanadamu.
Produced and Hosted By
Owen Bariki. -
Katika episode hii, Neema Loth ametueleza kwa undani vile unyanyasaji wa kimtandao unavyokuwa na kufanyika katika majukwaa mbalimbali ya kidigitali Tanzania.
-
Teknolojia inabadilika haraka sana. Mambo ya jana sio ya leo, kila siku vitu vinabadilika. Hivyo katika episode hii tumekukuletea sababu za kiusalama kwanini unatakiwa Updates vifaa na apps zako kila wakati ili ubakie salama mtandaoni.
-
Katika episode hii, tumepima vile wananchi wana uelewa juu ya sheria ya makosa ya mtandao iliyotungwa na kupitishwa mwaka 2015. Chukua muda wako na sikiliza maoni na uelewa wa wananchi wa Tanzania juu ya sheria hii
-
Elimu ndio inayokosekana kati wa watumiaji wengi wa majukwaa ya kidigitali na kusababisha hasara, kudukuliwa na upotevu wa taarifa na data zako ulizoziweka mtandaoni. Katika episode hii, Ungana na mtaalam wa masuala ya kidigitali akikuelezea ni jinsi gani unaweza kuwa salama mtandaoni.
- Mostra di più