Folgen
-
Fehlende Folgen?
-
Hatua uliyo nayo, maisha uliyo nayo, uchumi uliyo nao sio mahali ulipotakiwa kuwa, shetani anajua ya kuwa akikuachia ufanye jambo lako kwa wakati uliyotakiwa kuanza utalifanya jambo kwa ukubwa. Sikiliza somo hili ili likutoe sehemu ulipo na kukuvusha mpaka hatua uliyotakiwa kuwa.
- Mehr anzeigen