Folgen
-
Leo tumejiunga na gwiji wa Kiswahili, mwalimu Mariana Kweyu kujadili Mahusiano kwenye maisha ya binadamu.
Mariana pia ana idhaa ya Kiswahili pale YouTube. Unawezakujifunza zaidi kutoka kwake kupitia https://www.youtube.com/@swahiliwithmariana2246
-
Mwalimu James Muhatia aeleza kiundani kuhusu maana na dhima ya Fasihi. Kupitia kipindi hiki, utaipata fursa ya kujua maana ya Sanaa. Kwa maelezo zaidi kuhusu Fasihi na masomo ya Kiswahili, mwandikie mwalimu Muhatia kupitia [email protected].
-
Fehlende Folgen?
-
James A. Muhatia atueleza kwa mukhtasari mwongozo aliouchapisha kuhusu tamthilia ya Bembea ya Maisha (Timothy Arege, 2022). Kwa maelezo zaidi, mwandikie James barua pepe kupitia [email protected].
-
Je, kuna tafauti zipi kwenye vizazi tofauti? Tabia zipi kwenye vizazi tafauti zinakukera? Tujadili... #vizazi #tabia
-
Je, Kiswahili kina umaarufu gani? Gwiji wetu wa Kiswahili Bw. Edward Ombui Mogusu anaeleza zaidi
-
Je, Kiswahili kina asili gani? Kiswahili kilianza kutumika wapi? Sikiza kwa maelezo zaidi
-
Endelezo la mazungumzo kuhusu chimbuko la kiswahili
-
Mazungumzo kuhusu kiswahili ulimwenguni
-
Katika kipindi hiki tunaangazia endelezo la chimbuko la Kiswahili inavyoelezwa na gwiji wetu Bw. Edward Mogusu.
-
Today we have been joined by a Swahili expert Mr. Edward Mogusu to examine the origin of Swahili language.
-
Ufafanuzi wa lugha zinazozungumzwa kwenye nchi ya Kenya (a description of languages spoken in Kenya).
-
Maelezo zaidi kuhusu ndoa
-
Learn swahili from basics